maamuzi kesi ya yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Juma Ally Magoma ameuonya Uongozi wa Yanga kuingilia kesi yake dhidi ya bodi ya wadhamini

    Juma Ally Magoma ameuonya uongozi wa Yanga kuingilia kesi yake dhidi ya bodi ya wadhamini wa klabu ya Yanga akisema kitendo hicho ni hatari kwani yeye alishitaki bodi ya wadhamini ambayo sio kosa kuishitaki katika mahakama za kawaida lakini uongozi wa klabu una mahakama zake za soka. Amesema...
  2. M

    Mzee Magoma ashindwa kesi ametakiwa kuilipa Yanga Sc zaidi ya Milioni 70

    Mzee Magoma ameshindwa kesi thidi ya Yanga CS ,hukumu imetoka leo 9 August katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambapo Magoma ametakiwa kuilipa fidia Yanga . Amezungumza hayo meneja mawasiliano na habari wa Yanga Ali kamwe leo baada ya kutoka mahakamani na kushinda kesi hiyo. Pia Soma - Juma...
  3. Cute Wife

    Simon Patrick: Yanga itaenda mahakamani kuweka zuio la kukabidhi timu kwa wazee walioishtaki

    Yanga inafanya mkutano na waandishi wa Habari muda huu, fuatilia hapa kitakachojiri https://www.youtube.com/live/EX22v01thd8?feature=shared Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga Simon Patrick amekiri uwepo wa kesi hiyo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Baraza la wadhamini wa Yanga SC...
  4. Chakaza

    Vijana wa Tanzania wanaumizwa na maamuzi ya Kesi ya Yanga kuliko ya CCM na hatima zao

    Mahakama imetoa hukumu kuwa Uongozi wa Yanga hauko madarakani kihalali hivyo uondoke na uchaguzi ufanyike upya kwa katiba halali ya mwaka 2011. Ukisoma mitandaoni utaona kuwa Vijana wamekasirika hadi kutishia maisha ya wazee walioshinda kesi. Hili ni jambo la kusikitisha sana, mbona hatuoni...
Back
Top Bottom