Niweke wazi kwamba sina jibu kamili la mada tajwa. Lakini ninachokielewa ni kwamba Marekani ni taifa kubwa ambalo Rais yoyote anayeingia madarakani hawezi kwenda kinyume na vision yao.
Hata hivyo kauli na ubabe wa Rais wa sasa wa taifa hilo, zinatafakarisha sana hususani implication ya kauli...