Afadhali hawa Tigo wamebadilisha hili lililokuwa lisha kuwa na maana ya kishenzi
Sema yaaaas
Maana sisi mwenye mishe zetu ilikuwa inatukata kweli
"Naomba Tigo?
"unatigoo hapo?
"Tigo unatoa?
Shwainiiii😅
na kuwakomoa tunasema Mixx by yas ipoo swafiii kabisaa😅