Ndio maana kila siku ninasemaga Wakenya wanayo safari ndefu sana ya kujitambua kwa sababu wamekubali kuwaweka wazungu kwenye vichwa vyao.
Sasa hivi huko mitandaoni utawasikia Wakenya " Generation Z this" Generation Z that"
Na wanaona fahari kweli kuonekana wanajua kuhusu Generation Z...