maana ya mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwa mujibu wa Katiba. Nini maana ya Mungu na yupi ni Mungu wa taifa hili?

    Wimbo wa taifa ni miongoni mwa tunu za taifa. Ktk wimbo huo kuna maneno Mungu ibariki Tanzania. Swali. Katiba yetu na sheria inatafsiri gani ktk maswali haya. 1. Nini maana ya Mungu 2. Nani au yupi ni Mungu wa Tanzania a. Mwenge b. Eloi c. Allah d. Yesu
Back
Top Bottom