Poleni na majukumu wakuu.
Jana usiku usingizi uliwahi kukata nikajikuta nimeamka saa 7 usiku nikatulia na kutafakari mawili matatu ilivyo fika saa 9 usiku nikaanza kupata usingizi.
sasa ndoto yenyewe ni hii niliota nipo naelekea chooni ile tu naingia nikang'atwa na nyoka kwenye mguu wa...
Wakuu,
Hapa nimeshtuka toka usingizini maana najihisi kama sijui nilikua nimekufa vile.
Eti nimeota niko juu mbinguni, niko na ndugu na jamaa zangu waliokufa siku nyingi, tukawa tunaiangalia dunia kutokea mbinguni, tukawa tunashangaa jinsi watu huku duniani wanavyoteseka, me nikawa nawaambia...
Habari wakuu
Mim huwa naota ndoto nyingi ila hii yajuzi nimeona niitilie manani kidogo maana mpaka leo sijapata majibu
Mimi naishi hapa hom na mam lakn kwasas anaumwa umwa kdg,
mzee alishafariki na kuna kaka angu alifariki mda sana kabla hata mimi sijaanza shule nilikuwa mdogo ila nakumbuka...
Nimekuwa nikiota ndoto nikiwa napaa na kuelea angani mara nyingi na kurudi chini, lakini katika mawazo yangu ningetamani niendelee kupaa tena, ni ndoto nzuri kuiota,lakini sijuwi inamaanisha nini iwapo mtu akiota ndoto ya namna hii.
Sijafahamu kama ninaishi katika hali halisi au katika eneo la kufikiria tu. Kuna tabia ya kuamka saa 8 usiku, saa 6 au saa 9, na sababu ikiwa ni ndoto – iwe mbaya au nzuri – huwa naamka.
Kwa bahati mbaya, ndoto za sasa zimejenga hali ya tahadhari na kunipa hofu kwamba kuna kitu kibaya...
Hii ndoto nimeitafakari sana Na sijaielewa. Nimeota niko kwenye nyumba Fulani nzuri sana, ndio naamka kitandani. Nikaanza kujiuuliza hapa ni wapi?
Nikaingia washroom, nikapuuh kisha nikasema nitoke nje huenda nikajua niliko.
Kiunoni Nina taulo tu, nikawaona mabinti wamekaa kwa nje, nikawa...
Wasalaam,
Watafsiri ndoto, watu wa Imani, manabii, wanajimu....n.k, naombeni msaada wenu.
Ipo hivi.....
Kuna aina ya ndoto nimekuwa nikiota kwa muda mrefu sana kwenye maisha yangu, over 7+ years, nashindwa kuelewa maana yake na kwanini zimekuwa zikijirudia kwa namna yake kwenye hali tofauti...
Samahani, mimi leo nimeamka nikapigiwa simu na mdogo angu akanambia kuwa mama yetu aliota usiku wa kuamkia leo kuhusu mimi, kuwa nilikuwa niko porini, alafu watu wananisemesha ila mimi siwasikii. NDOTO HIYO.
Baadae saa 11 jioni, nilikuwa chumbani peke angu alafu mlango nilikuwa nimeuegesha ila...
Usiku wa kuamkia Leo nimeota nimeua Simba baada kumuua huyo Simba baadhi ya watu wakanibeba kwenye mabega Yao wakinipitisha Kila mtaa huku wakiimba "Shujaa wa nchi".
Asubuhii hii nimemshirikisha ndugu yangu mmoja kuhusu hiyo ndoto na amaitafasiri kwa kuniambia kuwa nitakuwa raisi mwaka ujao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.