Ndugu zangu Watanzania,
Katika ukurasa wake wa Mtandao wa X, waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani...