Nini maana ya ubunifu?
Ubunifu ni uwezo wa kuunda au kubuni kitu kipya au kupata njia mpya ya kutatua tatizo (Kulingana na mimi). Mfano wa ubunifu ni kubuni programu ya simu inayorahisisha malipo ya huduma za kibenki kwa njia ya mtandao.
Wataalamu wanaelezea ubunifu kama mchakato wa kuzalisha...