Siku Rais Samia alipomteua Mchengerwa kuwa Waziri wa TAMISEMI, alimsifia kuwa Mchengerwa ana kifua kipana!! Kila mmoja alitoka na tafsiri yake juu ya kauli hiyo ya Rais Samia. Lakini wengi tulidhania kuwa kifua kipana cha Mchengerwa, japo hatujawahi kukiona, Rais alikuwa akimaanisha uwezo wa...