maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Maana ya Halloween 🎃

    Kuna sherehe zinaendelea nchi za wenzetu..maarifu kama Halloween. Wajuvi mtupe historia yake na zina maana gani.
  2. Siku hizi maadili mfanyie mama yako tu maana hata wenye kujiheshimu wanategemea promo za watu wenye maadili mabovu. Inasikitisha sana ila hakuna jinsi

    Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣 Anyway maisha yaendelee.
  3. M

    Kuna haja na kila sababu ya kuipumzisha CCM maana ni kama inalizamisha taifa

    Habari zenu ndugu wana jukwaa letu pendwa. Kama mada inavyojieleza ukiangalia mambo yanavyoendelea nchini unaona kabisa kuna kila sababu ya chama cha mapinduzi kuwekwa likizo maana hawana mbinu tena za kuliendeleza taifa hili. Nina sababu zifuatazo kuisupport hoja yangu katika hili. 1. Chama...
  4. Michezo inaahirishwa, Timu zinaathirika, Lakini zaidi ya mwaka Hakuna ukarabati wa maana unaoonekana uwanja wa Mkapa

    Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka sasa hakuna hata TV! pitch bado mbovu, LED Display boards zimeondolewa! Sasa usumbufu na muda wote huo...
  5. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu

    Kwenye geti la chuo kikuu Cha Cape Town nchini Africa kusini kuna maandish yasemayo" "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. "Ruhusu mbumbumbu waonekane wamefaulu na wasonge...
  6. Vijana tukumbushane kama sio kuelimishana maana Giza lipo karibu

    Wakati unamlaumu mzazi kuwa maskini jiulize wewe hadi Sasa unapambanaje na umaskini hasa wa familia Yako au nawewe unasubiri uje usemwe na wanao?? Tanzania tumejaliwa kuwa na maeneo mengi ya kilimo kwa kila mkoa lakini maeneo hayo yapo wazi hakuna zao lolote. Ngoja niwasanue vijana wenzangu...
  7. Viongozi wa Manispaa ya Tabora wekeni Taa za Barabarani, muonekano wa Usiku Mitaani ni aibu

    Wanajamvi, Leo naomba nilete kwenu giza hili la Tabora, kiukweli nimesikia mara kadhaa baadhi ya Viongozi wa Tabora kupiga kampeni ya kwamba, Tabora linatakiwa kuwa Jiji, kwa Giza hili hadhi ya jiji watapata wapi? Viongozi wa Manispaa ya Tabora, Mkoa wa Tabora hili la Taa walichukue kama...
  8. K

    Hii ndoto ina maana gani?

    Habari za weekend wakuu. Kuna ndoto nimeiota usiku wa kuamkia leo imenishangaza kidogo na sijaelewa inanipa ishara ya jambo gani nikaona niwaulize humu watu wenye uelewa wa haya mambo ya ndoto. Iko hivi nimeota ilikua usiku wa giza niko naelekea stand ya bus nikiwa na abiria wenzangu tukiwa...
  9. Ina maana Rais Samia amekwenda Kizimkazi badala ya kwenda kwenye mkutano wa Commonwealth.

    Kwa nini hakwenda Samia na Waziri Kombo kama alivyokwenda Indonesia na Januari.? Mi nadhani nchi yetu ina special relationship na UK,rais alipaswa kwenda kwenye ule mkutano. After all Malkia ndiye aliyeamua ugomvi na Maalim Seif katika Uchaguzi uliopita. Magufuli alikuwa poised kumuondoa...
  10. Haya maandishi yalikuwa yana maana gani?

    Tuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani? Walikosa neno lingine au basi kuna jambo? DIETZ alimaanisha watumiaji wote tutafia Tanzania hatutatoboa kwenda nje ya nchi au😂
  11. Naombeni maana

    Naombeni waungwana
  12. Hiki kizazi mnaharibu sana Kiswahili "KUHEMEA" ndio maana yake nini?

    Yaani nakutana na mfanyakazi wangu mmoja leo namuuliza ulikuwa wapi time niliyokuwa nakutafuta ananiambia boss nilitoka kuhemea nikamuuliza kuhemea ndio maana yake nini maana tayari kichwani nilishawaza mambo ya hovyo akaniambia kuhemea ni kwenda kununua mahitaji ya nyumbani yaani sikumuelewa...
  13. L

    Chadema mteueni Lema awe mwenezi au msemaji wenu maana kila siku yuko mtandaoni

    Inaonekana Godbles Lema hawaamini akina Mnyika wala yule mkurugenzi wao yeye akiwa na hoja anaita press anaongea t, tena anaongea as if chama chake hakina wasemaji. Ukiwa na chama cha namna hii ni hatari sana, kesho john Mrema ataongea, kesho Mnyika ataongea, keshokutwa Lissu, keshokutwa yake...
  14. Watekaji walikata sikio la mjukuu wake baada ya Getty kuwa mgumu wa pesa. Alivyoona hivyo akademand apunguzie ransom maana mjukuu hayuko kamilifu 🤣🤣

    Paul Getty, huyu ndio mmoja ya wawekezaji wa kwanza kuvuta mafuta Saudi Arabia miaka hio bado ni nchi isio na maendeleo makubwa. Mwanzoni Waandishi walivyomuuliza kwa nini hataki kutoa ransom alijibu hivi "Nina wajukuu kumi nne. Kama nikitoa pesa ya huyu mmoja basi 14 wengine watatekwa"...
  15. Nini maana ya mwanamke anapigwa kwa upande wa khanga?

    Nasikia tu huu usemi kua mwanamke hapigwi bali anapigwa kwa upande wa khanga sasa adi Leo sijui maana yake. Naomba ufafanuzi asanteni
  16. Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
  17. Wanaonzisha biashara pasipo kuwa na taarifa kamili kuhusu biashara husika ndio maana wanafeli

    Watu wengi wanaanzisha biashara pasipo kuwa na taarifa kamili kuhusu biashara husika, soko, ushindani,na malengo thabiti ya kuanzisha biashara hiyo. Wengi hawafanyi uoembuzi wanaamua kufanya kwa sababu wameona fulani anafanya na anauza,naye anaamua kuanza biashara ileile mbaya zaidi eneo la...
  18. Kombe Neno "Utopolo" maana yake ni Kisu Kikali cha Kumchinja Mnyama Simba!

    Ukiwa Mwanasimba uko mitaani ukatamka neno utopolo basi unacheka, unafurahi , unadharau na kubeza , simba ikija uwanjani inaanza mbwembwe Debora anazungusha watu dimba la katikati watu wanakaanga chips shwaaa, raha iliyoje, mara Zimbwe Jr anageuka kwa madoido watu weweee, Kibu anaruka ruka...
  19. I

    Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  20. Nini maana ya ndoto ya kupaa na kuelea angani?

    Nimekuwa nikiota ndoto nikiwa napaa na kuelea angani mara nyingi na kurudi chini, lakini katika mawazo yangu ningetamani niendelee kupaa tena, ni ndoto nzuri kuiota,lakini sijuwi inamaanisha nini iwapo mtu akiota ndoto ya namna hii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…