maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Tungeshinda angesifiwa Mama sio wachezaji? Ndo maana Mungu anatukataa

    Yaani nchi imekaa kimchongo Sana hii Tukishinda Nani Kama Mama Tukifungwa tatizo Samata Tukifungwa Mara mzinze sijui kafanyaje!! Sometime Bora tubondwe tu!!
  2. S

    Naomba ufafanuzi; kwanini jina la Mkoa linamaana tofauti kiutawala na kwenye taasisi wana maana nyingine wakati serikali yetu ni moja?

    Habari wadau! Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo! Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili! Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya! Kwa mfano; Mkoa wa Dar es salam ni moja ya sehemu ya utawala wa kiserikali nactaasisi zake! Sasa kwanini...
  3. Maana ya kubeti kistaarabu

    Mara zote kampuni na asasi za Betting industry zimetakiwa kuwakumbusha wateja kubeti kistaarabu , hii nikutokana na ukweli kuwa betting inasabaisha matatizo ya Afya ya akili Kama msongo na addiction. Unachopaswa kuifundisha akili yako nikiwa hakuna utajiri unaotafutwa kwa betting na kuwa betting...
  4. Maisha yatakosa maana baada ya miaka 20 tu ijayo

    Nikusalimu Ndugu!! Kwa kuwa tumepewa UHAI basi wajibu wetu ni kuhakiki wajibu unatimizwa wa Kila mmoja wetu akiwa na huu Mwili, usijipe woga Wala USIOGOPE Kuwa na wazo mbadala. Maisha ya hapa ulimwenguni yameanza KUKOSA maana Lakini ifikapo 2045 takriban miaka 20 ijayo maisha ya mwanadamu...
  5. Hivi mpenzi wako anapokuita "mubaba"anakua na maana gani?

    Heri ya jumapili wakuu Sijui niko nyuma ya ulimwengu au ndio uzee unanisumbua. Hivi mpenzi wako wa kike anapokuita we mwanaume wake "MUBABA" anakua na maana gani? Maana kuna kibinti hivi vya mwaka elfu 2 kinapenda kuniita mubaba na wakati me bado yanki kabisa,sasa nimeshindwa kukihoji nikaona...
  6. Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

    aljazeeraenglish The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.⁠ .⁠ #Israel could not have done this without US military aid, but it could have...
  7. K

    Huu ujumbe wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) una maana gani?

    Kuna kijana nimemfanyia application ya mkopo heslb,sasa toka jana naona account yake imebadilika na kuwa SIPA, sasa nikiingia kwenye allocations za mkopo inanipa ujumbe huo hapo chini. Je, hii inaashiria kakosa au kapata mkopo?
  8. Ndo maana watu wanakimbilia uchawi

    Haya maisha bana, ukiamua kufuata vitu kwa njia ya haki unakuta unapoteza muda na hao ambao wko responsible kuhakikisha mambo yanaenda vizur hajisogez hata kidogo. Just imagine nina msala mahakamani halafu kila siku napigwa calender tu na wakati huo msala nimesababishiwa, yaani mimi ni ndo...
  9. M

    Nini maana ya Mahakama kusikiliza kesi Kwa kiswahili na kuandika Mihutasari yake Kwa Kiingereza?

    Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama ilivyosikilizwa Mahakamani...au lugha ya maandishi ya mahakama ni kingereza hata kama asilimia 99 ya...
  10. Njaa ni kali wanangu ila tuwe makini na maamuzi nyeti wakati wa ukata maana huwa hayajirudi

    Mkopo juu ya mikopo. Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu. Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu. Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu. Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali. Kumpiga kibuti...
  11. Walio wengi hawaelewi nini maana ya Upendo na Ukoje.

    Niseme machache huku nikitamani kusikia testimonies za wengine zinasemaje. Upendo: Tunajifunza kupitia watu walio tuzunguka na matukio yanayotuzunguka. Pia kupitia Elimu mashuleni na Media imebeba nafasi kubwa ya kutujuza mambo mengi.. Ukiangalia hata zile movie za Kanumba na Ray zina maudhui...
  12. Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
  13. Huenda Gachagua akajiuzulu wakati wowote, maana imethibitika hakuna uwezekano wa muujiza kumnusuru kuondolewa nafasi ya unaibu rais

    Huenda haitazidi ijumaa ya kesho.. Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
  14. Yani Syria imegeuka kuwa dampo la biashara na shughuri haramu za mataifa maana ni ngumu kuwa detected hapo.

    Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria. Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
  15. Nini maana ya nyota? (ni sawa na bahati?)

    Kiimani ni rahisi kuelewa mtu akikuambia una Baraka, ni kwa sababu anaona mafanikio fulani yanakupata, Lakini huku uswahilini, nimesikia kuna watu wanasema "huyu jamaa Ana nyota." wengine wakisema ni mfano wa bahati,. Sio hilo tu nimesikia pia kama hufanikwi kasafishe vyota. Au Kuna watu...
  16. Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

    Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua. Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung. Karibuni;;;;;;;
  17. Hii Vita ya Israeli na Irani inayoanza Ina maana Gani Kiimani?

    ISraeli amakuwa akipagana vita toka enzi na enzi na mara nyingi ameenda utumwani. Hii yote imekuwa ni kiimani sana kwamba. Israel ni Taifa Teule Mungu amelichagua hili kutoa elimu kwa watu wake. Sasa hichi kinachoendelea Kati ya Israel na Iran muda huu, kiliandikwa kitatokea? Au ni ujumbe gani...
  18. Vipi hali ya mahusiano kati ya Umbwe na Lyamungo? maana kipindi hicho tunasoma tulitambiana sana hadi kufanyiana vurugu

    Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame. Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims wa vita kati ya Wakibosho na Wamachame miaka hio ya zamani. Sasa shule ya umbwe ipo jamii ya...
  19. Kuuliza si ujinga, nini hasa maana ya neno SIASA?

    Kwenye kukua kwangu, hili neno Siasa ni neno la kawaida maana nalisikia mara kwa mara. Mfano: Chama cha siasa. Mwana siasa... Ila ukweli sijui maana yake. Maana hata wakati mwingine ni neno la heshima, na wakati mwingine ni neno la kuvunja heshima. Ukiongea uongo, unaitwa mwanasiasa. Ukitoa...
  20. Maana ya Hezbollah ni Chama Cha Mungu. Hivi ni Mungu yupi huyo?

    Muda mwingine huwa tukiwa critical na mambo ya hawa jamaa wengine wanadhani ni kwa sababu tuna chuki binafsi ya Dini fulani. HEZBOLLAH ni KIBOKO YA WACHAWI aliechangamka. Hawa jamaa ni matapeli tu kama wengine wanaotumia kivuli cha jina la Mungu ku-pursuade watu waungane nao kwa ajili ya ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…