Najiuliza tu, kama kweli kuna umakini katika hili, mbali na katibu mkuu wa wizara kukesha gym na mitandaoni, sioni alichokifanya katika Wizara, ni mambo ya status quo ante.
Arusha na Dodoma, tuliambiwa watajenga viwanja, kuna dalili?.
Naona Rwanda anakarabati na kujenga viwanja kama vile kuna...
Tujikumbushe nchi zilizoshinda bid ya kuandaa mashindano ya AFCON 2027 ni TANZANIA, KENYA NA UGANDA lakini sisi hapa nyumbani tunaongea sana kuliko vitendo.
Nchi nyingine KENYA NA UGANDA wako site wanajenga na kukarabati lakini sisi tuko busy kuunda kamati za AFCON na kulipana posho tu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.