Hii sasa ni mbaya jamani Biashara za Mbunge ni za kifamilia
Waandamanaji Nchini Kenya wameharibu Mali na Biashara mbalimbali za wabunge waliopigia Kura ya Ndio Finance Bill
Aidha Ofisi za Kiongozi wa Walio wengi Bungeni mh Kimani na zile za Gavana wa Nairobi zimechomwa moto
Mali hizo...
1/7/2024
Vifo vinavyotokana na maandamano ya kushinikiza Rais Ruto aachie ngazi vyafikia 26, baada ya watu wawili zaidi kutokana na majeraha
Kevin Madanga (22) ambaye alipigwa risasi 3 wiki iliyopita amefia Nakuru na Daniel Kakai (17) mwanafunzi kutoka Bungoma aliyepigwa risasi Alhamisi...