Habarini,
Shida zote ndani ya Afrika zinatokana na matumizi makubwa ya serikali kwa kununua magari ya kifahari na kujilipa mishahara na marupurupu makubwa pasipo kujali kuondoa huduma mbovu za wananchi.
Wananchi wagome na kuandamana dhidi ya matumizi mabaya ya raslimalinza serikali na siyo...