maandamano gen z

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Namna ya kutuliza Gen Z wa Tanzania

    Gen Z ni vijana waliozaliwa MIAKA ya 2000 mpaka 24. Kizazi hiki kina maisha na purukushani nyingi za kisiasa , kiuchumi, na kijamiii . Kwa nchi kama Tanzania Ili Hawa vijana watulie ni lazima uwafanyie mambo yafutayo. 1. WALETEE VIDEO ZA NGONO. Hawa madogo hawajambo Kwa mambo ya ngono...
  2. W

    Waandishi wa Habari Waandamana Kenya, wapeleka maombi yao Makao Makuu ya Polisi NPS

    Waandishi wa Habari wameandamana jijini Nairobi kwa ajili ya kulaani mashambulizi ya Wanaoripoti Habari kuhusu Maandamano na vitisho kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari kutoka kwa Polisi Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya Katika taarifa iliyotolewa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kenya...
  3. Mwandishi wa Media Max Limited Catherine Wanjeri apigwa risasi Nakuru, akifuatilia maandamano ya Wananchi kupinga serikali

    Mwandishi wa habari wa Kenya, Catherine Wanjeri Kariuki, anayefanya kazi kwa Mediamax Limited, amepigwa risasi na polisi huko Nakuru wakati akiripoti maandamano yaliyoongozwa na vijana wakitaka rais aliyezingirwa William Ruto ajiuzulu. Alikimbizwa Hospitali ya Valley. MediaMax inamiliki K24 TV...
  4. A

    Ni busara DP Gachagua kunyamaza

    Naibu Rais Gachagua ni vyema akadhibitiwa kabla hajatamka neno lolote Kwa wakati huu. Maana jamaa linamtoka lolote linalomjia kinywani. Kenya Kwa sasa inahitaji utulivu na uponyaji
  5. Haingekuwa rahisi kwa IGP Kenya kuendelea kuhudumu kwenye nafasi yake huku Waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa ulinzi wamefutwa kazi

    Ukimya wake tangu maandamano ya Gen Z yalivyoanza uliibua maswali na mashaka mengi juu ya uwezo wake, weledi wake yeye na wa jeshi la polisi kwa ujumla, na kwa yeye kuendelea kuhudumu kwenye nafasi alikua nayo jeshini. Polisi kuwapiga risasi hadi kufa waandamanaji wa Gen Z, kulitia dosari na...
  6. J

    William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

    Breaking news Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya Citizen TV ====== Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko. Katika kutangaza mabadiliko...
  7. T

    Laiti kama Ruto angeyafanya haya kabla ya maandamano ya gen Z angeimbwa kama shujaa wa Afrika. Afrika tunakwama wapi!?

    Mtu mmoja aliwahi kuniambia usemi unaosema tujifunze kwa makosa hauko sahihi kwani kuna makosa hayatakupa muda wa kurekebisha chochote. Ni kwa sababu ya hiyo dhana namuona Ruto alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuimbwa na historia kama Rais aliyejali wanyonge kwa kupunguza matumizi ya wakubwa...
  8. Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

    Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali. ====== Rais Ruto ametoa hatua zifuatazo...
  9. Rais Ruto kushiriki mjadala na Wakenya kwenye X Space, Julai 5 kwa saa tatu

    Aisee, hatimaye kesho ndio kesho, Ruto atakutana na na jamaa wa Gen Z kule space. Make mwnzo alikuwa akutane nai ikulu ila ikaonekana jamaa hawana offisi wala kiongozi so kama anataka kukutana nao ni kule Space. Huku ni vitisho vya kufungia Space na tunanywea. Tusipo chukua notce kutoka Gen Z...
  10. Wakenya, ni mjinga pekee ndiye anaharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe

    Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe. Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe. Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki. Haeleweki mwenye nguvu ni nani. That's not...
  11. Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

    Ukiweka Siasa Pembeni hatuna Watangazaji levo za kuwakaribia Wakenya, na tuna kwama sana kama nchi, kama umefuatilia mahojiano ya leo jioni ya Ruto na Watangazaji wa habari utagundua kwamba tuna kosa sana Watangazaji aina ile. Watatangazi wetu ni weupe sana hata aina ya vipindi vyao tu ni...
  12. Gen Z Kenya, mtaka yote kwa pupa hukosa yote; mihemko siyo dili kwenye mapambano

    Siyo rahisi kuyafikia malengo na mahitaji yenu ya msingi mengi na yote kwa pamoja. Inahitaji muda na nafasi. Inafahamika na Imebainika Africa na duniani nzima, mnatamani mahitaji yenu yote ya msingi yatimizwe. Serikali imekubali, na imewaalika mezani kuzungumza nanyi mnataka nini tena mtaani...
  13. Tujifunze kutoka Kenya jinsi Mihimili ya Utawala inavyofanya kazi

    Maandamano ya vijana wa Kenya ya kupinga mswada wa sheria ya kodi 2024/2025 yaliyanza kwa amani, na baadaye yameishia kwenye maafa. Lakini inaelezwa kuwa chanzo ni baada ya Polisi kumwua kijana asiye na kosa, na hivyo kuamsha hasira za waandamanaji. Vitendo zaidi vya uhalifu vimefanywa na...
  14. Generation Z: Wanamapinduzi walioandika historia nchini Kenya

    Kizazi kipya cha waandamanaji vijana wa Kenya waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 kimeingia barabarani na kulazimisha serikali kubadilisha muswada wa wabunge uliopendekeza kodi ambayo haikuwapendeza watu wengi nchini Kenya, vijana hao walianzia TikTok,inafurahisha sana kuona vijana wa Generation Z...
  15. Mahakama kuu yaamuru serikali kusitisha zoezi la wanajeshi kwenda mtaani kuzuia maandamo

    Mahakama Kuu yaiamuru serikali kusitisha mara moja zoezi lake la kupeleka wanaeshi mtaani ili kutuliza maandano. Hili limekuja baada ya Ikulu kutoa taarifa kuwa Rais Ruto amekataa kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Mahakama pia imeamuru Usalama wa Taifa Kenya pamoja na Polisi...
  16. S

    Mahakama ya Upeo Kenya yachomwa moto

    Waandamanaji Kenya wamechoma mahakama ya ya Rufaa. Yaani wameamua kushambulia mihimili yote kuanzia Serikali, Bunge na sasa mahakama Inatisha. Pia soma===> News Alert: - Rais Ruto (kuhusu Maandamano): Ni uhaini! Tutawashughulikia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…