Gen Z wanasema Bara la Africa halijawahi kuwa Huru bali ni Unyonyaji ulihamishwa kutoka kwa Mzungu na kuwaachia vibaraka wao Weusi
Sasa Gen Z ndio wanapigania Uhuru wa kweli na Leo ndio wanafanya Tamasha la kihistoria la kuwakumbuka mashujaa waliouliwa kwenye Maandamano na kwamba hii itakuwa ni...