27 July 2024
London, Uingereza
MAANDAMANO MAKUBWA LONDON 27 JULY 2024
Maandamano makubwa yafanyika na kuhutubiwa na kiongozi Tommy Robinson mwenye siasa za mrengo wa kulia yaani msimamo mkali dhidi ya wahamiaji na wakimbizi wanaotaka kuleta desturi na mila zao nchini Uingereza. Tommy Robinson...