Watu wanne wamenusurika kifo baada ya kupigwa na kukatwa mapanga pamoja na gari waliyokuwa wakiitumia aina ya Raum kuchomwa moto katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara kwa kudhaniwa kuwa ni wezi wa kuiba Watoto baada ya kumpa pipi Mtoto aliyekuwa akipita pembeni ya gari yao waliyokuwa wanaitumia...