Meshaki Daudi (20) mkazi wa Kitongoji cha Makanisani Kata ya Lamadi, wilayani Busega Mkoani Simiyu, amefariki kwa kudaiwa kupigwa risasi na Jeshi la Polisi, lililokuwa katika oparesheni ya kudhibiti maandamano ya wananchi walioandamana katika kituo cha polisi Lamadi, yaliyokuwa yanashinikiza...