Wanaukumbi
Maelfu ya waandamanaji katika miji mbalimbali ya Israeli wametaka usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas uendelee na mateka zaidi waachiliwe.
Kadiri hatua ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano ilivyomalizika Jumamosi, watu walikusanyika Tel Aviv, Haifa na kwingineko...