maandamano wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Kigoma: Wananchi Kigogwe waandamana, wasema wanataka daraja na siyo kibembea

    Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu. Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…