maandamano ya gen z

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumbe maandamano ya GEN Z sio self initiative bali ni fedha za mabwanyenye?

    Penye uzia penyeza rupia! Kumbe mbwembwe zote zile za maandamano ya GEN Z huko Kenya nilidhani inatokana na hisia kamili za Wanaojiita Gen Z kumbe kuna mabwanyenye ambao inawezekana mirija yao ya kunyonya fedha imekatwa. Shime vijana wetu ingieni China...ingieni shambani ingieni kwenye michezo...
  2. Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…