maandamano ya utupu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maandamano ya Utupu Kampala: Wanawake Watatu Wakamatwa kwa Kelele za Kupinga Ufisadi

    Polisi nchini Uganda wamewakamata wanawake kadhaa waliokuwa wakifanya maandamano ya utupu kupinga ufisadi nchini humo. Wanawake hao, baadhi wakiwa na vifua wazi, na mabango, walikamatwa walipokuwa wakielekea Bungeni huku wakipiga kelele za kupinga ufisadi na serikali. Waandamanaji hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…