Vurugu, uharibifu na uporaji wa maduka na mali mbalimbali binafsi na za umma vimewafanya kuonekana na kuwabainisha rasmi mchana kweupe, kumbe ni majambazi, magaidi na wezi tu, waliyo jificha kwenye kudai eti miswada wa fedha wa Serikali ya Kenya kwa mwaka 2024/2025 ni mbaya na haufai. kumbe wao...