Wakuu,
Nilikuwa nafuatilia huu mjadala wa Zambia na Zimbawe kukataa msaada wa Bilioni 1.7 kutoka Marekani
Kama kuna kosa ambalo hizi nchi mbili wamezifanya katika kipindi hiki ni kukataa huo msaada, especially kwa hii sababu waliyotoa kwamba wanalinda PRIVACY YA WANANCHI WAO
Estimates...
Veterani wa vita aliyekimbizwa na mamlaka, Blessed Runesu Geza, anayejulikana pia kama “Cde Bombshell”, amewaomba Wazimbabwe waamke dhidi ya kile anachodai kuwa ni kunyakuliwa kwa dola na wizi wa rasilimali za taifa na Rais Emmerson Mnangagwa na wadanganyifu wake.
Geza alisema raia wanapaswa...