Kwa kusoma kwangu maandiko mpaka hapa tulipofikia, ninaamini haya.
Malaika ni weupe kama Wazungu
Binadamu wa kwanza, yaani akina Adam walikuwa weusi.
Sijajua kama na nyie mmegundua hili! Ila acha niseme kidogo, narudi kulekule kwenye kitabu cha Enoko.
Wakati Nuhu anazaliwa, watu wote...