Mzee Kavana, aliyekuwa Captain Kavana mwaka 1964 na aliyechagulia na askari wa Tanganyika Rifles walioasi ili awe kiongozi wao badala ya wazungu, amefariki jana 9/8/2024.
Captain Kavana wakati huo alikuwa hana hili wala lile huku askari waasi wakishinikiza kuwa kwa vile tumepata uhuru, lazima...