maaskari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Braza Kede

    Hawa maaskari wa sauzi walienda na ujauzito vitani au wameupatia hukohuko?

    Hawa walitoka makwao Disemba 2023 na hii Februari 2025 wameonekana ni wajawazito. Wakuu nataka mnipe uhakikisho hawa wapendwa walitoka na ujauzito makwao au wameupatia hukohuko vitani? Hapa tutawategemea sana wamama/wadada mliomo humu ole wenu mtulishe kasa. na kama walipatia huko vitani je...
  2. Analogia Malenga

    Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  3. P

    Pre GE2025 Usafi aliotangaza Chalamila kufanywa na Majeshi ya Ulinzi tar 23 na 24 Januari leo siku ya kwanza umefanyika mtaani kwako?

    Wakuu, Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24...
  4. Mjanja M1

    Umegundua nini kwenye hii video ya maaskari

    Umegundua kitu gani kwenye hili Gwaride la maaskari.?
  5. Zanzibar-ASP

    Kwanini Wenza wa Waalimu na Maaskari Wastaafu wasipewe kiinua mgongo?

    Hapa suala ni wenza na kiinua mgongo, kwanini wenye vyeo vya juu wakistaafu wenza wao huvuna kiinua mgongo tena kinono lakini wenza wa waalimu, maaskari nk wanabaguliwa? Haki iko wapi?
  6. Restless Hustler

    Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu. Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo...
  7. Nitrofurantoin 100mg

    Central Police Dar es Salaam kuna maaskari vishoka

    Kupatikana kwa haki Tanzania hususani central police DSM pale imekuwa ni changamoto hususani kesi za utapeli na uwizi, maaskari wamegeuka vishoka wa kuwatorosha watuhumiwa wa utapeli. Mtu anaetapeli amejiwekea immunity kituo kikubwa kama central ili tu wadai wakifika central kufuatia madai yao...
  8. jMali

    Urusi na maaskari wa Afrika: I smell a rat!

    Urusi iko desperate kwenye hii vita ya Ukraine. Kwa ukubwa wa Urusi na capabilities zake hii vita ilitakiwa iwe imekwisha kitambo. Putin hana huruma hata kwa raia zake wenyewe. Vijana wanalazimishwa kuwa askari na kupelekwa kinguvu front-line Ukraine, huko wananyimwa mawasiliano na ndugu zao na...
  9. Course Coordinator

    Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

    Dunia inazunguka kwa kasi. Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku. Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani...
  10. Roving Journalist

    Waziri Simbachawene: Rais Samia aruhusu kupandishwa vyeo Maafisa, Wakaguzi na Askari 34,106, wa vyombo vya ulinzi na usalama vya wizara yake

    Na Mwandishi Wetu MOHA. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ameruhusu kupandishwa vyeo Maafisa, Wakaguzi na Askari 34,106, wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilivyopo chini ya Wizara yake kwa mujibu wa taratibu na sheria. Akizungumza na...
  11. J

    Rais Samia: Jeshi la Polisi msitumie Sheria kama 'Kitega Uchumi'

    RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Polisi wasitumie makosa kama kitega uchumi kwa kutoza faini mbalimbali badala yake wajikite kwenye kudhibiti makosa Ameyasema hayo alipokuwa katika Ziara ya Kuzindua Kiwanda cha Ushonaji cha...
  12. samesame

    Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike. Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
  13. Mlenge

    Kada muhimu kuliko zote

    Mfalme mmoja alitaka kujua ni kada gani muhimu kuliko zote? 1. Maaskari wakamwambia ni sisi: Tunaulinda ufalme wako; bila sisi maadui wangekuja kutuvuruga hapa. 2. Walimu wakamwambia ni sisi: Bila sisi hakuna kada yoyote nyingine. 3. Madaktari wakamwambia ni sisi: Bila sisi hakuna mtu mwenye...
Back
Top Bottom