maazimio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Spika Tulia Ackson alivyofungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Februari 2025, amefungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuhusu taarifa za utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) na...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Mkutano uliofanyika Dar es salaam tarehe 08.02.2025 na kutoa maazimio ya juu ya mgogoro wa DRC na M23 ni bure na kupoteza muda pamoja na fedha

    Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct. Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi. Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama...
  3. Etugrul Bey

    Kumbe kuna kikao cha Wanaume kilifanyika ila nimesoma sehemu Maazimio kadhaa

    Kuanzia sasa hakuna tena hela ya kutolea unapo mtumia mwanamke hela,akitaka hela kamili afuate geto Kuna vifungu viwili vya uhaini vimeongezwa,ila nakumbuka kimoja tu,mwanao akitaka kuazima geto lako awe na demu wake,ukimnyima huo ni uhaini Demu akiwa anasema anakuja geto,halafu wewe ukaoga...
  4. Pendaelli

    Hivi viongozi wetu wanatenge muda kufuatilia maazimio yao walio fanya jana kabla hawajafanya maamuzi leo?

    Pamoja na mabaya mengi yanayotajwa kutoka kwa Magufuli lakini kuna mahali tunafikishwa na viongozi wetu tunadhubutu kusema yule bwana alikua zaidi ya kiongozi. Kinachoendela sasa Amri ya serikali kufuta baadhi ya vijiji kata kinatoa tafakari mpya juu ya viongozi wetu dhidi ya maazimio yao ya...
  5. J

    Maazimio ya UVCCM kwenye kongamano la miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MAAZIMIO YA UVCCM KWENYE KONGAMANO LA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 🗓️21Aprili, 2024 📍Zanzibar Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wameanzimia mambo yafuatayo katika Kongamano la UVCCM kuelekea Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 1. Vijana wa Chama cha...
  6. Execute

    Maazimio mangapi ya mwaka mpya umeshayavunja?

    Kuna maazimio mazito niliyaweka lakini wapi nishapoteza mengi tu. Nilisema sitakunywa soda na nimeshakunywa tano, nilisema sitatumia sukari na nishainywa. Nilisema sigusi nje tayari kuna mmoja alijileta. Yaani tafrani tupu.
  7. M

    Mheshimiwa Mbowe, Wananchi na Wanachadema wanasubiri uwasomee maazimio ya kamati kuu juu ya Maridhiano na suala la ngorongoro

    Kwako mheshimiwa Mbowe, Miezi miwili iliyopita, ulitutangazia kuwa Kamati kuu iliyokaa mwezi huo iliazimia mambo mengi, miongoni mwayo ni suala la bandari, Maridhiano na suala la ngorongoro. Lakini katika kusoma maazimio hayo, ulijikita zaidi kwenye suala la bandari, ukasema kuwa masuala...
  8. Nanyaro Ephata

    Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuhusu suala la Bandari

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI. 1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu. 2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
  9. Escrowseal1

    Emergency call kwa wazarendo wa nchi yetu ambao hawajaridhia maazimio ya bunge la CCM.

    Pamoja na hawa watu kujimwambafy kwamba wamepitisha hili azimio ovu biggest majority wanaugulia maumivu .ombi langu kwa hawa wafuatao. 1. Naomba experts wa JF waandae petition kukataa haya maazimio ambayo in reality hayareflect maoni ya wananchi. 2. Ombi la pili naomba expert wa jf waandae...
  10. Meneja Wa Makampuni

    SoC03 Mwarobaini wa Tatizo la Upungufu wa Maji Jijini Dar es Salaam ni Serikali yenyewe: Jukumu la Serikali na Maazimio ya Kutatua Tatizo hilo

    Utangulizi Katika jiji la Dar es Salaam, uhaba wa maji umekuwa tatizo kubwa kwa muda mrefu. Wakazi wa jiji hilo wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa maji safi na salama kutokana na mji huo kuwa jirani na Bahari ya Hindi na eneo la chini ya ardhi kuwa na maji ya chumvi. Hali hii imesababisha sehemu...
  11. OLS

    Watoto wa shule wanapata shida sana, kuwe na maazimio ya kitaifa

    Baada ya kusikia watoto waliofariki kwa kuzama mtoni, nikakumbuka takwimu zinazoonesha idadi ya watoto wanaovuka maji kufika shule, idadi ya watoto wanaovuka maeneo yenye wanyama hatarishi kufika shule. Serikali inajua kuhusu hilo, kwa kuwa takwimu hizi nazitoa kwao. Basi nikaingia niangalie...
  12. W

    Ila mambo mengine bwana, sasa kuwalazimisha walimu waandike maazimio ya kazi (schemes of work) kwa mkono ndo nini? Inaongeza ufaulu?

    Sijawajua vizuri sana viongozi wa kada zingine, lakini nadiriki kusema hawa wanaopanda ngazi na kuwa viongozi wa walimu hubadilika na kuwa na roho ngumu sana! Katika karne hii ya sayansi na teknolojia, kizazi hiki cha computers ambapo hata vishikwambi vimeanza kufikiriwa kugaiwa kwa kila...
  13. Roving Journalist

    Maazimio ya Serikali na wadau wa Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari, Desemba 17, 2022

    Ukumbi wa Kimataifa Wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC)- Dar es Salaam AZIMIO LA JUMLA Kongamano limeazimia kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa hatua kubwa iliyochukuliwa kupanua uhuru wa vyombo vya habari na kufungua milango ya mazungumzo na wadau wa habari kuhusu ukuaji wa sekta ya...
  14. M

    Hatimaye uongozi sikivu wa Simba SC, waazimia kuboresha kikosi

    Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi juzi, kimeamua kuleta furaha kwa wana Simba kwa kukisuka vilivyo kikosi cha Simba SC. Baada ya kutambulisha kocha wa makipa na wa viungo, wataleta kocha mkuu, mtaalamu wa kuwasoma wapinzani, na wachezaji wanne: Washambuliaji wawili. Kiungo mkabaji. Beki wa...
Back
Top Bottom