Kamati ya Kudumu ya Ardhi Maliasili na Utalii imeitaka wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuendelea kusimamia maazimio ya Bunge ili kutoa huduma bora kwa Watanzania.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo na Timotheo Mzava jijini Dodoma Agosti 20, 2024 wakati wa uwasilishaji...