mababu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    Kuongea na mababu na mabibi zako waliotangulia mbele za haki

    Tafuta vyakula alivyopenda kula na vinywaji alivyopendelea wakati wa uhai wake huyo marehemu. Nenda makaburini tafuta nafasi nzuri ya kukaa hakikisha uko peke yako na huonekani na watu. Ksha mwaga kile chakula alichopenda marehem au mzimu unaouita ,sema hivi we fulani weka jina lake mimi fulani...
  2. Ritz

    Misri wamjibu Trump; hawawezi kushiriki kuwaomdoa Wapalestina wana dhamana isiyoweza kuvunjika na ardhi ya mababu zao

    Wanaukumbi. ⚡️🇪🇬BREAKING: Egypt’s Embassy in USA republishes the following as a response to Donald Trump: Egypt’s stance is clear: it cannot be part of any solution that involves the transfer of Palestinians into Sinai. Such a move would trigger a second Nakba, an unimaginable tragedy for a...
  3. Webabu

    Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  4. Chizi Maarifa

    Dini zililetwa na Wageni, Halafu hatukuzichunguza kwanza. Tukazifakamia. Mababu zetu wanasemaje?

    Asili ya hizi Dini Mbili. Tumsikilize ndugu yetu akituelezea hapa kwa logic kabisa. Bila kupepesa macho.
  5. Father of All

    Ilikuwaje mababu zetu wakapokea dini za kigeni hata bila kuhoji?

    Hakuna ubishi kuwa baada ya kukubali au tuseme kuingizwa mkenge na kupokea dini nyemelezi za kigeni, tulipoteza kila kitu. Tulipoteza utambuliko wetu, majina yetu, utu wetu, upendo wetu, ushirikiano wetu, dini zetu na kuteuka vikaragosi vya kiimani. Leo watu wanajiita wakristo au waislam...
  6. M

    Kwahiyo mababu zetu wa zamani, kimsingi hawakujua kanisa wala msikiti wako motoni au ilikuaje?

    Wakuu. Leo swali langu ni dogo sana kama nilivoandika huko juu, Mababu na mabibi zetu wa enzi na enzi hizo miaka hiyo mingi iliyopita, Ambao walikua hawajui kanisa wala msikiti na hawakujua kusoma wala kuandika muda huu wako motoni au wako wapi hasa,
  7. Mchawi mwandamizi

    MABABU ZETU WATAENDA MOTONI WOTE?

    Habari wanajukwaa,hasa wafia dini. Kabla ya kuja dini afrika mababu zetu waliishi kwa Mila na desturi zao,hawakumjua yesu Wala muhamad, na sisi tuliomjua yes na muhamad tumemjua kwa kusimuliwa na kukaririshwa ,hivyo tumekuwa umma wa yesu na umma wa muhamad??JE MABABU ZETU WALIOKUFA BILA KUWAJUA...
  8. Cecil J

    Kuna muda unafika unatambua ile misimamo ya mababu kuhusu Elimu na wanawake kama inakuingia hivi!

    ...
  9. Mjanja M1

    Wanawake wasiokuwa na hela waachie Wazee (Mababu)

    Habari zenu, Kama wewe ni Mwanaume unaejitafuta kimaisha ningependa kukupa ushauri huu, Mademu wasiokua na hela waachie wababu wanaokula pension na washkaji walioachiwa pesa za urithi. Utanishukuru! NB: MADEMU KAUSHA DAMU NDIO NAWAONGELEA HAPA.
  10. S

    Kwanini mababu wa Kiyahudi wanang'ang'aniwa na Wakristo na Waislamu lakini wajukuu wao wanawachukia?

    Kama sio unafiki basi waanzilishi wa hizi dini waliiba mababu wa watu ili wakubalike lakini ukweli ni kuwa hazina uhusiano kabisa na Wayahudi. Kama wangekuwa na uhusiano nao wangewapenda wajukuu wao. Na tena kama hiyo dini nyingine kabisa ikaamua kuiba Hadi maandiko ya kiyahudi na kuyageuza...
  11. Suley2019

    Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja. Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
  12. Kingsmann

    Mababu zetu waliishi maisha mazuri kushinda kizazi cha sasa

    Enzi hizo mtu anapotaka chakula, anaenda kwenye shamba la migomba, anatazama makumi ya mikungu ya ndizi na kuamua avune upi kwa chakula cha jioni cha siku hiyo. Karibu na shamba hilo kuna bustani ya viazi vitamu, bustani ya mihogo, viazi ulaya na mtama. Upande wa kusini wa shamba la migomba...
  13. S

    Waloliondo kufurushwa wenye ardhi ya mababu zao ni kielelezo cha ubovu wa katiba yetu

    Kama katiba ingelikuwa nzuri. Wa-Loliondo wasingeondoka kwenye ardhi ya mababu zao. Zuio la kimahakama lingewekwa na rais angeburuzwa mahakamani. Lakn katiba yetu inamlinda rais kuhojiwa na kushitakiwa na chombo chochote kwa kosa lolote atakalolitenda akiwa anatekeleza kazi zake za urais...
  14. Poa 2

    Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

    Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu. Yaani anaondolewa Mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa. Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama...
  15. Restless Hustler

    Ni kweli kwamba nisipoenda kuyasafisha makaburi ya wazazi na mababu nitapata laana au mikosi kwenye kazi zangu?

    Habari za muda huu! Kufuatia uzi wa tycoon wa fasihi ndugu ROBERT HERIEL alioeleza sababu za watu wengine kuishi umri mrefu na wengine umri mfupi, kuna nukta alieleza kwamba tunapaswa kuwaheshimu wazazi hata kama mameshakufa! Na akaeleza kwamba tutawaheshimu kwa kutembelea makazi yao(...
  16. M

    Mababu zetu walitangulia mbele za haki kabla ya Wamisionari na Waarabu kuleta dini wanahukumiwaje?

    Ni swali hili. Kama tujuavyo wageni weupe wameanza kuja Tanganyika kwenye karne ya nane. Ikumbukwe hawa wageni ndio wameleta ustaarabu wa dini hizi tulizonazo sasa ambazo tunaambiwa zitatufikisha mbinguni kwa baba. Swali: Je, ambao wameshafariki kabla ya kuja dini hizi watahesabika kama...
Back
Top Bottom