mababu zetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Dini zililetwa na Wageni, Halafu hatukuzichunguza kwanza. Tukazifakamia. Mababu zetu wanasemaje?

    Asili ya hizi Dini Mbili. Tumsikilize ndugu yetu akituelezea hapa kwa logic kabisa. Bila kupepesa macho.
  2. Father of All

    Ilikuwaje mababu zetu wakapokea dini za kigeni hata bila kuhoji?

    Hakuna ubishi kuwa baada ya kukubali au tuseme kuingizwa mkenge na kupokea dini nyemelezi za kigeni, tulipoteza kila kitu. Tulipoteza utambuliko wetu, majina yetu, utu wetu, upendo wetu, ushirikiano wetu, dini zetu na kuteuka vikaragosi vya kiimani. Leo watu wanajiita wakristo au waislam...
  3. M

    Kwahiyo mababu zetu wa zamani, kimsingi hawakujua kanisa wala msikiti wako motoni au ilikuaje?

    Wakuu. Leo swali langu ni dogo sana kama nilivoandika huko juu, Mababu na mabibi zetu wa enzi na enzi hizo miaka hiyo mingi iliyopita, Ambao walikua hawajui kanisa wala msikiti na hawakujua kusoma wala kuandika muda huu wako motoni au wako wapi hasa,
  4. Mchawi mwandamizi

    MABABU ZETU WATAENDA MOTONI WOTE?

    Habari wanajukwaa,hasa wafia dini. Kabla ya kuja dini afrika mababu zetu waliishi kwa Mila na desturi zao,hawakumjua yesu Wala muhamad, na sisi tuliomjua yes na muhamad tumemjua kwa kusimuliwa na kukaririshwa ,hivyo tumekuwa umma wa yesu na umma wa muhamad??JE MABABU ZETU WALIOKUFA BILA KUWAJUA...
  5. Suley2019

    Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja. Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
  6. M

    Mababu Zetu Wakifufuka leo! Wataona vizazi walivyoacha vimewatia aibu sana hapa Duniani

    Wakuu twende taratibu. Wale mababu zetu wakifufuka leo watakufa haraka kwa mshituko maana hawatoamini watakayoyaona, Kwanza watakuta mapambano dhidi ya wazungu ili kutetea ardhi yao ya asili hayapo tena na kiufupi ardhi mzungu anafanyia chochote anachotaka tena kwa kukaribishwa na kupewa...
Back
Top Bottom