Wakuu,
Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute.
Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya miswada kupelekwa bungeni na baadaye kupitishwa baada ya kupitiwa kuwa sheria.
Wasira anaongeza...