mabadiliko tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Lissu na Gen Z humuwezi kutumia mbinu za mwaka 47 na kutegemea kufanikiwa wakati huu wa kidigitali, nyumbulikeni!

    Wakuu, Sasa tunashuhudia mwamko mkubwa hasa upande wa vijana kwenye masuala ya siasa na uchaguzi, japokuwa uchawa umetaradadi kwa kiasi kikubwa, kuna mwanga umeanza kuonekana na kuashiria huenda jua likaangaza baada ya kuwa kwenye kiza kwa muda mrefu. Wakati hayo yote yanatokea hatuwezi...
  2. BLACK MOVEMENT

    Mabadiliko Sudan hayakuletwa na wanasiasa. Tanzania tunadhania wapinzani ndio watatuletea mageuzi tukiwa nyuma ya keyboard zetu

    Kule Sudan, Omari Bashir aling'olewa na maandamani ambayo hayakuwa na hayakuanzishwa na vyama vya upinzani. Wale Gen Z sio wana siasa, ila muziki wao sio wa kitoto. Sasa Bongo tumekaa nyuma ya Keybord tunangoja wapinzani watutengenezee maisha au watuletee mageuzi, hao wapinzani wakianza...
Back
Top Bottom