Wakuu,
Sasa tunashuhudia mwamko mkubwa hasa upande wa vijana kwenye masuala ya siasa na uchaguzi, japokuwa uchawa umetaradadi kwa kiasi kikubwa, kuna mwanga umeanza kuonekana na kuashiria huenda jua likaangaza baada ya kuwa kwenye kiza kwa muda mrefu.
Wakati hayo yote yanatokea hatuwezi...
Kule Sudan, Omari Bashir aling'olewa na maandamani ambayo hayakuwa na hayakuanzishwa na vyama vya upinzani.
Wale Gen Z sio wana siasa, ila muziki wao sio wa kitoto.
Sasa Bongo tumekaa nyuma ya Keybord tunangoja wapinzani watutengenezee maisha au watuletee mageuzi, hao wapinzani wakianza...