mabadiliko ya hali ya hewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mikopo Consultant

    CCM waogope sana hili joto na jua kali nchini kwa sasa. Muda si mrefu nguvu ya umma itadhihirika!

    Kwa mujibu wa takwimu za NBS, watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi karibu asilimia 65 wameajiriwa kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo. Nchi hii imekuwa na baraka sana ya kupata neema ya hali njema ya hewa, kiasi kwamba kila mwaka watu wamekuwa wanakula na kusaza japo hawana akiba yeyote (no...
  2. M

    Poleni sana Wabongo ambao ni homeless huko Marekani kwa sababu baridi huko kwa sasa sio ya mchezo.

    Ni vizuri kuwa diaspora ila kama huna kazi inayoeleweka huko au umeenda kinyemela na kupelekea kuishi kwa kubahatisha kiasi cha Cha kukosa makazi (homeless) hiyo ni hatari sana. Katika kipindi hiki cha hali mbaya ya hewa huko hasa baridi kali kiasi kwamba baadhi ya majimbo yametangaza hali ya...
  3. The Sheriff

    Utafiti: Watanzania Wanaunga Mkono Mikakati ya Kupunguza Uzalishaji wa Methane Kushughulikia Mabadiliko ya Hali ya Hewa

    Watanzania wameonekana kuunga mkono kwa kiasi kikubwa mipango inayolenga kupunguza uzalishaji wa gesi ya methane na kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Global Methane Hub, shirika la kibinadamu linalojitolea kupunguza uzalishaji wa methane...
Back
Top Bottom