mabadiliko ya kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ccm ikiwa dhaifu sana basi mabadiliko ya kweli yatakuja- ikiwa imara sana ni kikwazo cha mabadiliko

    Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa

    Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa. Huwezi kuuwa maelfu ya watu na kuiba kura na kujifanya rais alafu ukatuwa na nia njema na sisi wewe unakuwa ni adui namba moja wa taifa.
  3. JamiiForums Tanzania Upinzani na Mabadiliko ya kweli katika Nchi yetu yataanzia ndani ya CCM 2028-2030 na kusambaa Nchi nzima na kuunganisha wazalendo wote

    Habari JF, binafsi sina uwezo wa Mungu wa kuweza kujaza mtungi wa gasi au kufanya miujiza , lakini ninaiona Tanzania baada ya 2030 ikiwa chini ya Mikono salama , wazalendo na wapenda maendeleo . Tuombe Uzima
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…