mabadiliko ya mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simbachawene: Madai ya kubadilishwa kwa mfumo wa Uchaguzi 2025 hayawezi kutekelezwa kwa kipindi kifupi kilichobaki

    Waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema kuwa madai ya kubadilishwa kwa mfumo wa Uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 hayawezi kutekelezwa kwa kipindi kifupi kilichobaki kwani mabadiliko makubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Aweso aelekeza mabadiliko ya mfumo na utendaji mamlaka ya maji Ushirombo

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameitembelea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Ushirombo (UWASSA) Wilayani Bukombe mkoa wa Geita kujionea hali ya utendaji na utoaji huduma ya Maji wa wananchi na kupokea taarifa ya utendaji kazi sambamba na kujionea mazingira ya watumishi. Waziri Aweso...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu anaelezea mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi kwa lugha nyepesi kabisa kueleweka na mtu yeyote

    Bila shaka kila Mwananchi sasa ataelewa maana ya No reforms No election na kuachana na propaganda za serikali hii ya kidhalimu ya CCM. Tundu Lissu anatumia lugha rahisi kabisa kueleweka kwa kila mtu, ni mwendawazimu pekee ndiye atakayeweza KUSHUPAZA SHINGO na kung'ang'ania kushiriki kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa shule ya sekondari binafsi nchini, wana wasiwasi kuhusu mabadiliko ya mfumo wa elimu, hasa kutokana na kufutwa kwa darasa saba mwaka 2027

    Kama mmiliki wa shule ya sekondari binafsi nchini, nina wasiwasi kuhusu mabadiliko yanayokuja katika mfumo wa elimu, hasa kutokana na kufutwa kwa darasa la saba kuanzia mwaka 2027. Hii inamaanisha kwamba wanafunzi wa kidato cha kwanza watakuwa wakitoka moja kwa moja kutoka darasa la sita, hali...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani

    P01 MABADILIKO YA MFUMO WA UCHAGUZI WA WABUNGE NA MADIWANI A. MADIWANI 1. Diwani atakuwa na Elimu kuanzia walao shahada ya kwanza. 2. Diwani atachaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura 3. Mgombea atakayepata kura nyingi kuliko wote atahesabika kuwa ameshinda 4. Kama hakuna mgombea alieshinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…