Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya nchi,
Ni vizuri sana kuambiana ukweli kama wadau wa siasa na waTanzania kwa ujumla, kwamba eti kuna mabadiliko ya sheria za uchaguzi au katiba mpya sijui next week au next month taifa linapoelekea kwenye uchaguzi mkuu...
Kuna tatizo kubwa sana kuhusu uchaguzi huru wazi na wa haki nchi hii kiasi cha kwamba kila mwananchi amekata tamaa na suala hili.
Mimi na wananchi tunajiuliza tatizo ni kukosekana kwa utashi wa kisiasa na Rais na viongozi wengine kuwa na utashi wa kisiasa wa kutoa miongozo thabiti ya walio...
Kama ambavyo tumewahi kujadili hapa JF kuhusu makelele yaliyokithiri katika miji yetu. Ipo haja katika mabadiliko ya sheria za mazingira ambayo yatajadiliwa bungeni kuhakikisha hivi vipaza sauti bubu katika masoko, fremu za maduka na vibiashara ndogondogo zinadhibitiwa.
Kwa sasa wauza sumu ya...
Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi kwa ajili ya chaguzi nchini Tanzania.
Akizungumza katika mkutano wa kuwasilisha maoni ya CCT kuhusu miswada mbalimbali, Dk. Shoo alieleza kuwa mabadiliko haya ni muhimu...
Na; Mwandishi Wetu - DODOMA
BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao.
Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
Kabla ya mapendekezo haya sheria ilikuwa inasema atakayekutwa na hatia ya kuomba rushwa ya ngono atakuwa ametenda kosa ambapo adhabu yake ni faini isiyopungua milioni 2 na isiyozidi milioni 10, ama kifungo kisichopungua miaka 5 na kisichozidi miaka 10 au vyote kwa pamajo.
Kwenye mapendekezo...
1.Jerry Silaa ni mbunge anatumikia mhimili wa bunge ambao unapaswa kujitegemea.
2.Jerry Silaa ni waziri anatumikia serikali ambayo nayo ni mhimili unaojitegemea
3.Jerry Silaa ni wakili wa mahakama kuu hivyo anatumikia mhimili wa mahakama ambao pia hupaswa kujitegemea.
Wakati nikiwa kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.