Kama tunavyofahamu mwaka huu 2024 na 2025 Nchi yetu ya Tanzania itakuwa katika Uchaguzi ambapo mwaka 2024 utafanyika uchaguzi wa serikali za mitaa november 27. Mwaka 2025 uchaguzi mkuu.
Sasa kuna jambo ambalo lazima tuliseme na viongozi wafahamu na hata wale ambao wataonyesha nia ya kugombea...
Niliwahi kutahadharisha miaka takriban minne iliyopita kuwa, siku za petrol and dizel zinakwisha na hivyo tufikirie vizuri zaidi kuhusu miradi mikubwa ya petrol and dizel. Nililenga moja kwa moja mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania.
Technologia...
Watanzania wameonekana kuunga mkono kwa kiasi kikubwa mipango inayolenga kupunguza uzalishaji wa gesi ya methane na kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Global Methane Hub, shirika la kibinadamu linalojitolea kupunguza uzalishaji wa methane...
Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama
Kupanda miti ili kusaidia kuchukua kaboni dioksidi kutoka hewani. Miti husaidia kueneza hewa safi kwa...
Mwishoni mwa mwezi Desemba Balozi wa China nchini Botswana Bwana Wang Xue aliikabidhi Botswana kituo cha utabiri wa hali ya hewa kinachohamishika. Huu ni moja ya misaada inayotolewa na China kwa nchi za Afrika kwenye eneo la mabadiliko ya tabia nchi, msaada ambao kwa sasa unaonekana kuwa na...
Mkutano wa kwanza wa kilele wa Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Nairobi nchini Kenya. Katika miaka mingi iliyopita, China imechukua hatua madhubuti ili kuzisaidia nchi za Afrika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Kutokana na mabadiliko ya tabianchi duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.