Wito umetolewa kwa Serikali kuongeza juhudi katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambazo zinaendelea kuathiri maisha ya wananchi, uzalishaji wa chakula, afya, mazingira na uchumi wa nchi.
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la matukio ya ukame, mvua...