Wakuu,
Takriban siku 2 zilizopita Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilipokea msaada wa dola milioni 9 za Marekani (takriban shilingi bilioni 24.5) kwa ajili ya kuboresha huduma za hali ya hewa.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TMA, Jaji Mshimbe Bakari, alitangaza msaada huo jijini Dar...
Wanabodi,
Kabla ya kuendelea mbele ningependa kuwapongeza CHADEMA kwa kuandaa na kushiriki kwenye maandamano. Pamoja na CCM kutumia nguvu nyingi kuzuia lakini mlijitahidi sana kufikisha ujumbe wenu kwa serikali.
Leo nilikuwa napitia ilani yenu ya 2020 kwa mara nyingine na nigewaomba pale...
Wanabodi,
Uchaguzi umekaribia. Tunajua CHADEMA watakuja na sera zao Katiba mpya meanwhile CCM watakuja na sera zao za jinsi walivyonunua madege, kujenga flyover na SGR.
Lakini kwanini, vyama hivi havizungumzii kuhusu masuala ya utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi hasa katika...
Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda.
Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
Wakuu habarini za mchana.
Hivi karibuni kuna taarifa zimetolewa na shirika la umeme kua kutakua na upungufu wa umeme.
Hii ni kutokana na ukame wa muda mrefu uliosababisha maji kupungua katika mabwawa yanayozalisha umeme.
Sasa hoja yangu ni kuwa, kwanini tunaendelea kumwaga mapesa mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.