Mkutano wa 29 wa Umoja wa Mataifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) umefungwa hivi karibuni huko Baku, mji mkuu wa Azerbaijan, na nchi mbalimbali zimefikia makubaliano kwamba, nchi zilizoendelea zitatoa angalau dola bilioni 300 za Kimarekani kila mwaka hadi mwaka 2035, ili...
Picha: Mafuriko ni miongoni mwa athari nyingi zinazoletwa na Mabadiliko ya Tabianchi
Tafiti zinaonesha kuwa mabadiliko ya tabianchi bado hayajapewa kipaumbele kikubwa katika chaguzi nyingi za Afrika (Tanzania ikiwa miongoni mwazo), licha ya athari zake kubwa barani humo. Masuala yanayopewa...
Wanawake mara nyingi wanashikilia nafasi muhimu katika familia na jamii, hasa katika nchi zinazoendelea, ambako wanahusika na majukumu ya kutafuta chakula, maji, na nishati (kuni)
Majukumu haya yanawafanya kuwa miongoni mwa walio hatarini zaidi kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi kama...
Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko.
Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
Ukame au Mafuriko yanapotokea Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji safi au ardhi ya kilimo, wakikabiliana na hatari ya Kubakwa au kulawitiwa
Mabadiliko ya tabianchi yanazidi kuathiri upatikanaji wa maji safi na ardhi yenye rutuba, rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii.
Wanawake...
Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa.
Ukame, mafuriko, na mabadiliko ya misimu vinaweza kupunguza upatikanaji wa maji na rutuba ya ardhi, jambo linalowaathiri...
Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Wanawake, (UNWomen) iitwayo Feminist Climate Justice: A framwork for Action ya Mwaka 2023, imeeleza kuwa Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia pamoja na tofauti nyingine za kijamii na kiuchumi kunazidisha udhaifu wa athari za mabadiliko ya tabianchi.
Ushahidi...
Utunzaji wa mazingira na kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni masuala muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote, hasa zile zinazokabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa, kama ilivyo kwa nchi yetu Tanzania. Katika muktadha wa kisiasa, ilani za vyama vya siasa zinachukua nafasi muhimu...
Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa changamoto kubwa duniani, na Tanzania imeathirika pakubwa kutokana na kuongezeka kwa matukio ya hali mbaya ya hewa kama mafuriko, ukame, na kupungua kwa rasilimali muhimu kama vile maji. Hali hii imeathiri sekta nyingi muhimu kama kilimo, nishati, na afya, na...
Miamba ya matumbawe ya Tanzania, ambayo ni miongoni mwa yenye bioanuwai kubwa zaidi duniani, inakabiliwa na tishio la mabadiliko ya tabianchi.
Kuongezeka kwa joto la bahari kumesababisha kukauka kwa matumbawe, na kuhatarisha maisha ya viumbe vya baharini na riziki za jamii za pwani...
Bodi ya Wakurugenzi ya IMF imeidhinisha Mkopo kiasi Cha $900 Milioni sawa na karibu Shilingi Trilioni 2.4 Kwa Tanzania Ili kuisaidia kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa kwenye uchumi.
Aidha ieleweke kwamba Serikali inakopo kile ambacho kimeidhinishwa kwenye Bajeti,haifangi...
Mito ni mwendo wa maji ambao unachukua maji kutoka maeneo ya juu kwenda maeneo ya chini kwa njia ya asili au ya kibinadamu. Kwa kawaida, mito huanzia katika vyanzo vya maji kama vile chemchem, maziwa, au barafu inayeyuka katika milima, na kisha maji hukusanyika pamoja na kuanza kusafiri chini ya...
Serikali Kujenga Ukuta Nungwi Kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi
Serikali imesema imeanza hatua za kujenga ukuta katika eneo la Nungwi Zanzibar kwa ajili ya kusaidia kuzuia maji ya bahari kuingia kwenye makazi kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
Naibu Waziri Ofisi ya...
Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi katika miaka ya hivi karibuni. Kutokana na mabadiliko hayo, majanga kama vile ukame...
Kwa sasa kila mtu anatambua kuwa kadiri siku zinavyokwenda mbele ndio viwango vya joto duniani vinaendelea kuongezeka, dhana ambayo watu wengi walianza kuwa nayo akilini mwao miongo kadhaa iliyopita.
Tukitupia macho mwaka huu wa 2023 ambao ndio unaelekea ukingoni, tumeshuhudia kwa macho yetu...
JamiiForums wakishirikiana na Taasisi ya Wajibu wataangazia dhana nzima ya Mabadiliko ya Tabianchi, Athari zake pamoja na jitihada Mbalimbali zinazofanywa na Sekta Binafsi katika kukabiliana na Changamoto hii.
Karibu ujiunge na ushiriki nasi kwenye Mjadala huu utakaofanyika siku ya Alhamisi ya...
Rais wa Kenya William Ruto amesema Mabadiliko ya Tabianchi yanatafuna maendeleo ya kiuchumi ya Afrika na ni wakati wa kuwa na mazungumzo ya kimataifa kuhusu kodi itakayotozwa wachafuzi wa mazingira.
Kwa mujibu wa rais Ruto, bara linalokua kwa kasi la Afrika lenye wakazi bilioni 1.3 linapoteza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali...
Picha; The chanzo.
UTANGULIZI
Nchi zote duniani ikiwemo Tanzania, hofu ya ustawi wa maliasili inazidi kuongezeka kutokana na wimbi la ongezeko la watu duniani na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi. Inakadiliwa kuwa ifikapo mwaka 2050, Tanzania itakuwa nchi ya tatu kwa wingi wa watu Afrika...
Na: Mr Potocal
Kwa sababu ya athari mbaya inayoonekana katika kuchukua hatua juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ushirikiano wa kimataifa unahitajika ili kuleta mabadiliko ya kina ambayo yatapunguza uzalishaji wa hewa chafu na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mabadiliko hayo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.