Mwezi huu wa Julai umekuwa ni mwezi wenye matukio mengi yanayohusiana na mabadiliko ya tabia nchi. Karibu nchi zote kubwa duniani zimekumbwa na matukio yanayothibitisha kuwa mabadiliko ya tabia nchi ni hatari ya kweli, na sio “jambo la kufikirika” kama inavyoelezwa na baadhi ya wanasiasa wa nchi...