Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Samaha Mufti wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir Ali Mbwana amewataka walimu wa Madrasa kote nchini kujiendeleza kielimu na kujifunza fani mbalimbali zitakazowawezesha kufanya kazi yao vyema katika huu wakati wa mabadiliko makubwa ya kiteknolojia...