Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi
Je mapande yake yataangukia huku duniani ?
Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea?
Nawasilisha.
Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye.
Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha...
Vyombo vya habari vya Uingereza hivi karibuni vimeripoti kwamba Mfuko wa David ambao ni jumba binafsi la makumbusho la nchini Uingereza, utatoa takriban kauri 1,700 za kale za Kichina kwa Jumba la Makumbusho la Uingereza. Kauri hizo zenye thamani ya paundi bilioni moja za Kiingereza zina...
⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️
𝗣𝗶𝗰𝘁𝘂𝗿𝗲𝘀 𝗼𝗳 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗿𝗰𝗲𝗽𝘁𝗲𝗱 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶 𝗠𝗶𝘀𝘀𝗶𝗹𝗲𝘀 𝗥𝗲𝘃𝗲𝗮𝗹𝗲𝗱…
Keep in mind these were Israel’s “top secret” missiles.
This missile is either the “𝗥𝗼𝗰𝗸𝘀” or “𝗚𝗼𝗹𝗱𝗲𝗻 𝗛𝗼𝗿𝗶𝘇𝗼𝗻” both top-secret Israeli tech.
Larry Connor ambaye ni Bilionea Mmiliki wa Kampuni za Uuzaji wa Mali za Kifahari zisizohidhishika (Luxury Real Estate) na rafiki yake Patrick Lahey aliye Mtaalamu wa uchunguzi wa kina cha bahari wanapanga safari ya Manowari (Submarine) ili kuchunguza mabaki ya Meli ya Titanic
Hii ni karibu...
Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia.
AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi.
Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia...
Msemaji wa Serikali amesema Wananchi wa Hanang katika mji mdogo wa Katesh, na vitongoji vyake, mji mdogo wa Kateshi walisikia kelele ambazo walifananisha kama gari moshi likipita kwa kasi katika mlima wa Hanang ambapo katika usiku huo kulikuwa na mvua ya kawaida na si mvua kubwa sana ya kutisha...
Imechukua zaidi ya karne tangu mabaki ya miili ya Watanzania yahifadhiwe katika makumbusho mbalimbali nchini Ujerumani na sasa uamuzi wa kuyarejesha umefikia hatua nzuri.
Baadhi ya mabaki hayo ni yake ya miili ya machifu na viongozi mbalimbali waliokuwa vinara katika vita vya Tanganyika dhidi...
Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja anayetambulika kwa jina la Juma Peter kufuatia eneo yalipokuwa makazi yake kukutwa mabaki ya mifupa yaliyodhaniwa kuwa ya binadamu.
Tukio hilo linalodaiwa kutokea Mkoani Simiyu, ambapo Jeshi la Polisi katika taarifa yake ya awali linadai...
Baada ya mabaki ya mwili wa Josephine Mngara (27), mkazi wa Mtemboni, Mji mdogo wa Himo, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro kukaa Mochuari kwa siku 190 sasa familia yake imekabidhiwa mabaki ya mwili huo na kwenda kuyazika katika makaburi ya Mereseni yaliyopo katika Mji mdogo wa Himo.
Mabaki ya...
Siku tatu zilizopita chombo cha submersible kimepotea ndani ya maji katika bahari ya Atlantic, ndani yake kuna watu 5 wote wanaume.
Chombo hiki kinaweza kuzama mpaka umbali wa mita 3,800 chini ya bahari, sawa na futi 12,500.
Kinaweza kukaa na hewa ya oxygen kwa muda wa saa 99 pekee, na huu muda...
Inasikitisha sana
====
Mabaki ya mwili wa mwanafunzi wa kidato cha nne, shule ya sekondari Ikuti Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya, Levis Mwailemele (16) yamepatikana katika pori la msitu Nkisyo.
Mwanafunzi huyo alipotea katika mazingira tata, Januari 9, 2022 na mabaki yake yamepatikana...
Mabaki ya kale 13,000 ya kitamaduni yamegunduliwa kutoka katika mashimo sita kwenye eneo jipya la kazi ya ufukuaji katika eneo la mabaki ya kale la Sanxingdui nchini China.
Taasisi ya Utafiti wa Mabaki ya Kale na Akiolojia ya Mkoa wa Sichuan ilitangaza hayo katika mkutano wake na wanahabari...
Mabaki muhimu ya kitamaduni ya Sanxingdui yaonyeshwa rasmi kwa umma
Februari 15, katika Jumba la Uhifadhi na Ukarabati wa Mabaki ya Kitamaduni la Makumbusho ya Sanxingdui la Sichuan, barakoa ya shaba ilionyeshwa rasmi kwa umma.
Kumekuwa na utamaduni wa kale wa wakulima kuchoma mabaki ya mazao kwa kigezo Cha kujiandaa na msimu mpya wa kilimo.
Mabaki hayo ni pamoja na mabua, magunzi na hata nyasi kavu. Hii ni MBOLEA YA MBOJI au composit Manure. Inarutubisha udongo hapo baadae na kupunguza umri wa aridhi yako kuchoka au...
Mabaki ya watu wanaokadiriwa kuwa 600-800 yalipatikana kwenye eneo hilo
Juu katika milima ya Himalaya nchini India, ziwa lililo kwenye bonde lenye theluji, limetapakaa mamia ya mifupa ya binadamu.
Mto Roopkund uko umbali wa futi 16,500 juu ya usawa wa bahari chini ya mteremko mkali wa Trisul...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.