Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa Vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.
Si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na...