Leo nimezunguka Dar nzima nimeshangaa kukuta mabango kila mahala hususani stand za magari, packing na vituo mbali na mawe pia.
Mabango hayo yanashawishi ubinafsi ili watu waendelee kuwa wabinafsi. Halafu anayetarajiwa kueneza hayo ni mtu anayejiita mtumishi tena amenipa majina ya mtume na...