Wakuu
Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi.
Soma, Pia: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza...
Tundu Lissu akizungumza na BBC Swahili kuelekea Uchaguzi wa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa uliofanyika Januari 21, kuhusu mabango na tofauti ya Kenya na Tanzania! ukweli mtupu akidai, "Somo kubwa la Kenya ni wamefikaje hapo walipo, ukisafiri kutoka Nairobi kuja Arusha...
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda tena ndanindani sio hata main road, njia Haina hata lami walikuja TRA wakanipigia hesabu laki 3 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.