mabango ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 TAMISEMI iweke utaratibu maalumu wa Ubandikaji wa Mabango kwa Wagombea kuepusha ubandikaji holela na Uchafuzi wa mazingira

    Salaam Wakuu, Tanzania inaelekea kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024. Kwa sasa joto la uchaguzi huo limezidi kupanbda na Wagombea wengi wapo kwenye hatua za kurejesha fomu zao ili kupitishwa kugombea nafasi walizokusudia. Imekuwa kawaida kwa Chaguzi zilizopita kupita nje ya...
  2. Pre GE2025 Mwanasiasa atakayebandika Mabango ya Kampeni ayaondoe Uchaguzi Ukiisha ili Kulinda Mazingira yetu

    Salaam Wakuu Kipindi cha Kampeni, kumekuwa na tabia ya Wanasiasa ya kubandika Mabango ya Kampeni kwenye Mitaa, Barabarani na hata kwenye kuta za nyimba za watu. Lakini Uchaguzi Ukiisha hawarudi kuondoa mabango yao ambayo yanageuka Uchafu Mitaani. Tamisemi isisimamie kura tu na hesabu bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…